WN Network Swahili Headlines
Swahili Headlines
Language: Search for:  
Sort:
No previous results 152 matches found Next 28 results

Eritrea yapinga vikwazo vya UN
Utawala nchini humo umekemea vikali hatua ya baraza la usalama la umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo kufuatia madai kuwa inachochea vita nchini Somalia. | ... BBC News

Mahakama ya The Hague kutomshtaki kiongozi wa waasi wa Darfur
| Mahakama hiyo imesema hakuna ushahidi wa kutosha kumfungulia mashtaka kiongozi huyo. | Hukumu hiyo imetoka mnamo wakati ambapo Rais Idriss Derby wa Chard akiendelea na ziara yake nchini Sudan katika... Deutsche Welle Swahili

Jimmy Carter awasili nchini Sudan
Carter anatarajiwa kuelezea wasi wasi wake kuhusu uchaguzi mkuu nchini humo unaopangwa kufanywa mwezi Aprili. | ... BBC News

Timu ya taifa Soka ya Benin yavunjwa
Kocha wa timu hiyo raia wa Ufaransa Michel Dussuyer na maafisa wote wa kiufundi pia wamefutwa kazi. Kwa mujibu maafisa wakuu wa shirikisho hilo, kikosi hicho kimevunjwa kutokana na utovu wa nidhamu na... BBC News

Kuanzishwa kwa Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania
| Kwa mujibu wa mamlaka ya vitambulisho nchini humo ni kwamba vitambulisho vya utaifa  vinatazamiwa kuanza kutolewa mwishoni mwa mwaka huu. | Othman Miraji alizungumza kwa njia ya simu na mk... Deutsche Welle Swahili

Egypt yawakamata viongozi wa upinzani
Miongoni mwao ni naibu wa kundi hilo, Mahmoud Ezzat. | ... BBC News

Nigeria kumzingatia kocha wa Misri
Siku ya Ijumaa shirikisho la soka la Nigeria (NFF) lilitangaza kumshusha cheo Shaibu Amodu. | ... BBC News

Marais wa Sudan na Chad kukutana
Baadhi ya waasi wanaopigana katika eneo la Sudan la Darfur, wanaaminiwa kupata ufadhili kutoka Chad. Chad nayo inadai kuwa serikali ya Sudan inafadhili waasi katika eneo la mashiriki la nchi hiyo. | ... BBC News

Kisanduku cha ndege ya Ethiopia chapatikana
Ndege hiyo aina ya Boeing 737 ilianguka mnamo tarehe 25 Januari, muda mfupi baada ya kuruka kutoka uawanja wa ndege wa Beiruti wakati hali mbaya ya hali ya hewa, na kuwaua abiria wote 90 waliokuwemo k... BBC News

Nigeria wamtimua kocha Amodu
Hiyo ni mara ya pili kwa Amodu mwenye umri wa miaka 51 kutimuliwa kutoka wadhifa huo wakati timu ya taifa ya Nigeria ikijiandaa kucheza fainali za kombe la dunia. | ... BBC News

Uchina yaikosoa ICC kuhusu rais wa Sudan
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Uchina, alisema hali nchini Sudan iko katika mahali pagumu, ukizingatia suala la Darfur na mpango wa amani kati ya Kaskazini na Kusini. | ... BBC News

Rada ya Tanzania yaigharimu BAE
BAE inalipa faini hiyo baada ya kukiri hatia ya kufanya njama ya kuwasilisha taarifa za fedha zenye udanganyifu mbele ya serikali ya Marekani. | ... BBC News

Yar'Adua wa Nigeria kukabidhi madaraka?
Barua hiyo, itayomwarifu rasmi seneta kwamba Bw Yar'Adua yuko katika likizo ya matibabu, inamaanisha moja kwa moja kuwa makamu wake atakaimu nyadhifa ya urais. | ... BBC News

Wanajeshi Burundi watuhumiwa kwa uasi
Wanashtakiwa kwa kukataa kutii amri mwezi Januari 2009 wakipinga suala la kutolipwa mishahara. | ... BBC News

Waziri mkuu Kenya ataka Waziri ajiuzulu
Uchunguzi uliofanywa katika wizara hiyo hivi majuzi umedhihirisha kuwa zaidi ya dola milioni 1 za kufadhili mpango wa elimu ya msingi zimefujwa. | ... BBC News

Keita aitaka CAF kuondoa marufuku dhidi ya Togo
Togo imepigwa marufuku na CAF kutoshiriki katika mashindano mawili yajayo ya kuwania kombe la mataifa bingwa barani Afrika. Pia imetozwa faini ya $50,000, kufuatia uamuzi wao wa kujiondoa kutoka kwa m... BBC News

Uchaguzi wa Gavana kufanyika Anambra, Nigeria
Waandishi wa Habari wanasema kuna hali ya wasi wasi kuhusu unachaguzi huo, unaoendeshwa na tume ya uchaguzi iliyosimamia uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007, ambao ulighubikwa na wizi wa kura na udanganyif... BBC News

Mswada kuchunguzwa upya Uganda
Bwana Oryem ameiambia BBC kuwa mswada utakaowasilishwa bungeni, utakuwa tofauti na ule wa awali. Matamshi hayo yametolewa siku moja tu baada ya rais wa Marekani Barack Obama, kusema mswada huo unapend... BBC News

Wapiga kura waongezewa muda Burundi
Hatua hii imechukuliwa na tume hiyo kufuatia kasoro zilizojitokeza awali katika uandikishwaji wa wapiga kura ambapo wengi hawakujitokeza. | ... BBC News

Rais Obama alaani mswada wa Uganda
Muswada huo unapendekeza mwenye hatia kufungwa jela kwa muda mrefu au hata adhabu ya kifo katika baadhi ya matendo hayo ya jinsia moja. | ... BBC News

Saratani ya kizazi yakithiri Tanzania
Wanawake ndio wanaotajwa kuathirika zaidi kwa saratani ya shingo ya kizazi. | ... BBC News

Mahakama zaboreshwa Tanzania
Lakini mahakama zinadai kwamba mazingira wanayofanyia kazi ni magumu. | ... BBC News

Libya yaonywa kuhusu kuziba wavuti
Wanaharakati wamesema Tripoli ilianza kuchukua hatua kali za kinidhamu tarehe 24 Januari, ikizuia wavuti kadhaa za kigeni zinazoripoti kuhusu Libya zisionekane, na wavuti nzima ya YouTube. | ... BBC News

Mabomu Somalia hulenga raia
Shirika hilo la kutoa misaada limeiambia BBC, waliwatibu takriban waathirika wa mabomu 100 katika ghasia zilizoibuka hivi karibuni baina ya wapiganaji na majeshi ya serikali. | ... BBC News

Waasi waafiki uamuzi wa ICC Sudan
Majaji hao, watupilia mbali umauzi uliokuwa umetolewa awali, kuwa upande wa mashtaka haukuwa umewasilisha ushahidi wa kutosha, ili Bwana Al Bashir, afunguliwe mashtaka hayo. Msemaji wa SLM, Yahya Bash... BBC News

Rais Idriss Deby Kuzuru Sudan wiki ijayo
Serikali ya Chad na Sudan, zimetia saini mikataba kadhaa iliolenga kusitisha uhasama kati yao, lakini harakati za waasi katika pande zote mbili zimekuwa zikichochea uhasama kati ya nchi hizo mbili. | ... BBC News

Blackstars wa Ghana watunukiwa
Wachezaji hao wametunukiwa kiasi hicho na Rais wa nchi hiyo John Atta Mills kwa kufika fainali. | ... BBC News

Bi Ingabire ashambuliwa Rwanda
Bi Ingabire alirejea nchini humo hivi karibuni akitokea uhamishoni kwa lengo la kugombea kiti cha urais katika uchaguzi wa rais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu. | ... BBC News

No previous results 152 matches found Next 28 results
Sponsored Links